Wakulima wengi hua wanashindwa jinsi ya kupambana na magugu hasa kwneye mashamba makubwa sana. hiyo inapelekea wakulima kulima sana lakini mavuno wanayo pata hayaendani na jinsi walivo lima .
kuna njia kuu tatu za kuzuia magugu shambani
KUTUMIA CHEMICAL
hii ni njia kuu ambayo inatumika sana kwa watu wenye mashamba Makubwa na hii njia nitaielezea sana kwa sababu ndo njia nzuri sana kwa watu wenye maeneo makubwa na inawachanganya wakulima wengi sana hivo nitaiweke wazi
kuna aina mbili za viua gugu(herbicides)
VIUA GUGU KABLA YA KUPANDA (PRE EMERGENCY HERBICIDES)
hivi ni viua gugu ambavyo vinawekwa shambani ili kuua magugu ya aina yote hvo ni kua makini sana wakati wa kutumia
kwa sababu unapo weka shamban inaua kila jani ambalo litaonekana shambani
mara nyingi kwa Tanzani hua tunatumia ROUND UP
Unatakiwa uweke siku 10-14 kabla ya kuanza kutifua shamba
na baada ya hapo masaa 48 baada ya kupanda ni muhimu sana kutumia dawa hizi kwa mazao ya fuatayo ili kuzuia wadudu waalibifu
mahindi- premagram
maharage -trichlor
VIUA GUGU BAADA YA KUPANDA (POST EMERGENCY HERBICIDES)
Hivi ni viuagugu ambavo vinatumika mazao ambapo yamesha kua makubwa
mahindi- grammaxone
maharage- amazon, sabea na bean clean
NJIA YA KAWAIDA YA KUZUIA MAGUGU
hii ni njia ambayo kila mkulima anaifaham japo kua inatumika sana lkn ni njia ngumu sana.
na pia inachukua nguvu na mda mwingi.

- kutumia kemikal (chemical control method)
- kibaologia(biological control method)
- kwa njia ya kawaida( physical control method )
KUTUMIA CHEMICAL
hii ni njia kuu ambayo inatumika sana kwa watu wenye mashamba Makubwa na hii njia nitaielezea sana kwa sababu ndo njia nzuri sana kwa watu wenye maeneo makubwa na inawachanganya wakulima wengi sana hivo nitaiweke wazi
kuna aina mbili za viua gugu(herbicides)
- viua gugu kabla ya kupanda(pre emergency herbicides)
- via gugu baada ya kupanda (post emergency herbicides)
VIUA GUGU KABLA YA KUPANDA (PRE EMERGENCY HERBICIDES)
hivi ni viua gugu ambavyo vinawekwa shambani ili kuua magugu ya aina yote hvo ni kua makini sana wakati wa kutumia
kwa sababu unapo weka shamban inaua kila jani ambalo litaonekana shambani
mara nyingi kwa Tanzani hua tunatumia ROUND UP
Unatakiwa uweke siku 10-14 kabla ya kuanza kutifua shamba
na baada ya hapo masaa 48 baada ya kupanda ni muhimu sana kutumia dawa hizi kwa mazao ya fuatayo ili kuzuia wadudu waalibifu
mahindi- premagram
maharage -trichlor
VIUA GUGU BAADA YA KUPANDA (POST EMERGENCY HERBICIDES)
Hivi ni viuagugu ambavo vinatumika mazao ambapo yamesha kua makubwa
mahindi- grammaxone
maharage- amazon, sabea na bean clean
NJIA YA KAWAIDA YA KUZUIA MAGUGU
hii ni njia ambayo kila mkulima anaifaham japo kua inatumika sana lkn ni njia ngumu sana.
na pia inachukua nguvu na mda mwingi.
- kung'orea
- kupalilia kwa jembe la mkono
- kupalilia kwa trekta
- na kupalilia kwa kutumia wanyama
No comments:
Post a Comment