WAJUE JAMII YA KUKU WEUSI - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Monday, August 28, 2017

WAJUE JAMII YA KUKU WEUSI



WAJUE JAMII YA KUKU WEUSI


Huyu anaitwa Ayam Ceman hii ni breed ya kuku ambao ni adimu sana na ni weusi kuanzia manyoya mpaka viungo vyake vya ndani asili yake ni indonesia,

Kwa utani huyu kuku wamemfananisha na magari ya lamborghini kutokana na bei yake kua ghali sana ukilinganisha na kuku wengine,

Kuku mmoja huuzwa kati ya dola $1999 - $2500

This is the Ayam Cemani Chicken. It is a rare breed of chicken from Indonesia
Just one of these chickens costs between $1999 and $2500

This $2,500 Chicken Is The Lamborghini Of Poultry. Paul Bradshaw, a breeder in Florida at Greenfire Farms, sells chickens for $2,500...per chicken, that is. And $4,999 for a juvenile pair. Bradshaw says the rare Indonesian breed Ayam Cemani is “my most requested bird, ever


from Kijana Endelevu Group http://ift.tt/2vkEfU9
USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YETU INAYOITWA KILIMO CHA KISASA SASA INAPATIKANA PLAY STORE BUREEE KABISA

No comments:

Post a Comment