SUBCUTANEOUS EMPHYSEMA
Mwili mzima wa kuku kujaa hewa:
Kitaalamu tunaitwa (Subcutaneous Emphysema).
MADHARA YA UGONJWA HUU KWA KUKU
_kutopumua vizuri
_kutomeng'enya chakula vizuri
CHANZO
Itilafu katka mfumo wa hewa, inayopelekea hewa kupenya na kuingia sehemu mbalimbali za mwili zisizokuwa rasmi.
MATIBABU
_Chukua sindano mtoboe minya polepole ili hewa itokea, kisha atarudi katika hali yake ya kawaida
_ Kuku mgonjwa muweke eneo lenye mwanga na hewa ya kutosha pasipo msongamano wa kuku wengine.
_Ukisha mtoboa na kumtoa hewa unaweza mpa antibiotic otc 20% or otc plus
ZINGATIA
Hali hiyo inawezakujirudia baada ya kitundu kuziba.
&Kuna uwezekano wa kufanyiwa upasuaji ili kushonwa sehemu yenye itilafu }hii ifanywe na Doct mwenye uzoefu wa kutosha sio wewe maana wengine mtaanza kuuliza tufundishe jinsi ya kufanya upasuaji hahahaha......
Hilo tatizo tumeona wengi mkiuliza tukaamua kulijibu kwa pamoja ili kila mtu ajue kuwa huo ni ugonjwa gani.
KWA MAONI NA USIMAMIZI WA MIRADI KWA GHARAMA NAFUU WHATSAPP 0655610894
BOFYA HAPA KUPAKUA APP YA BLOG HII PLAY STORE
TEMBELEA BLOG HII ILA SIKU, UKIWA NA SWALI COMMENT HAPO CHINI
TEMBELEA BLOG HII ILA SIKU, UKIWA NA SWALI COMMENT HAPO CHINI
from FUGA KIBIASHARA http://ift.tt/2C5YTLi
No comments:
Post a Comment