Kutokana na wimbi la uvuvi haramu kuongezeka, leo naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Hamisi Ulega ameshuhudia uchomaji wa nyavu haramu takribani 33418 zilizo kamatwa na kamati ya ulinzi Busega Simiyu Mkoani mwanza.
Mhe Abdallah Hamisi amesema kua hawata fumbia macho wavuvi wanao tumia nyavu haramu na sheria kali zitachukuliwa dhidi yao. Licha ya wavuvi hao kuiomba serikali kuwaletea nyavu ambazo zitakua halali kwaajili.
USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA KILIMO BORA IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI BONYEZA LINK HII KUDOWNLOAD ==> http://ift.tt/2tqvrGF
No comments:
Post a Comment