WAKULIMA WALALAMIKIWA KUTOFIKIWA NA MBOLEA MBALALI MBEYA - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Friday, January 26, 2018

WAKULIMA WALALAMIKIWA KUTOFIKIWA NA MBOLEA MBALALI MBEYA

Wakulima mbalali mkoani mbeya walalamika kutofikiwa na mbolea, Wakizungumza na ITV leo wakulima hao wameonesha kuwa na wasiwasi wakutopata mazao mwaka huu kutokana na kutopata mbolea.
Hii imepelekea kupanda mbolea hizo ambazo kwa kawaida mbolea ilitakiwa kuuzwa kwa shilingi elfu 50-hadi 60 kwa kilo hamsini.


USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA KILIMO BORA IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI BONYEZA LINK HII KUDOWNLOAD ==> http://ift.tt/2tqvrGF

No comments:

Post a Comment