Kilimo cha mchaichai - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Friday, February 2, 2018

Kilimo cha mchaichai


Mchai chai ni mmea ambao unatambulika hapa nchini pamoja na Afrika kwa ujumla wake, lakini hapa nchini wengi huutambua mmea huu kama kiungo katika chai na husaidia kinywaji hicho kuwa na harufu nzuri. http://ift.tt/2BSxPKw

Tafiti kadhaa zinaonesha kuwa mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupamban ana athari kadha wa kadha tumboni, kwenye mkojo na hata kwenye vidonda. Wengine huamini kuwa mchaichai huamini kuwa mchaichai unaweza kutibu baadhi ya maradhi kama vile homa ya matumbo, matatizo ya ngozi, madhara yanayotokana na ulaji wa chakula chenye uchafu na pia hutibu maradhi ya kichwa na hata misuli. http://ift.tt/2BSxPKw

Hizi ni baadhi ya faida za kunywa chai yenye mchai chai katika mwili wa binadamu.

1. Kuzuia kutapika

2. Kutuliza maumivu ya tumbo

3. Kupunguza makali ya homa.
4. Msaada kwa wenye tatizo la baridi yabisi,

5. Husaidia kusafisha figo

6. Huzuia tatizo la tumbo kuunguruma

7. Husaidia uyeyushaji wa chakula

8. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na maumivu mbalimbali ya mwilini.

9. Husaidia kupunguza maumivu kwa kinamama wakati wa hedhi

Chanzo: Mtandao



from Kijana Endelevu Group http://ift.tt/2nwbeyW
USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YETU INAYOITWA KILIMO CHA KISASA SASA INAPATIKANA PLAY STORE BUREEE KABISA

1 comment: