Panya ni wanyama wadogo jamii ya mammalia walio katika familia/kundi linalotambulika kitaalamu kama Muridae wenye meno mawili ya mbele kwa kila taya na mwanya kati ya meno ya mbele na magego unaotambulika kitaalamu kama Diastema. Panya mbali na wadudu waharibifu wa mazao pamoja na magugu huhesabika kama mojawapo ya visumbufu […]from Mogriculture Tz https://ift.tt/2rbkYzJ
USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YETU YA KILIMO CHA KISASA IPO PLAY STORE SASA
No comments:
Post a Comment