JINSI YA KUTOFAUTISHA MAYAI - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Monday, July 23, 2018

JINSI YA KUTOFAUTISHA MAYAI


Jinsi ya kutofautisha mayai ya kuku wa kienyeji na wa kizungu Kwenye swala la kiini cha ndani ambacho tunakiita kiini lishe. Virutubishi vinavyopatikana kwenye yai la kuku wa kienyeji kama protini, vitamini A, madini ya chuma na virutubishi vya aina nyingine, ndivyo hivyo vinavyopatikana pia kwenye yai la kuku wa kisasa. Shida ni kwamba wafugaji wa kuku wa kisasa hawafuati taratibu za ufugaji na pengine hawawapi kuku vyakula muhimu wanavyohitaji au wanawapa dawa na vyakula visivyo bora kiafya, hivyo wakati mwingine kiini cha yai la kuku wa kisasa huonekana kupungua rangi ya njano kuliko kiini cha yai la kuku wa kienyeji. Kwenye matumizi ya mayai binadamu anashauli kutumia mayai yote ya aina mbili japo mayai ya kienyeji yanapewa kipaumbele kutokana na utunzaji wa kuku wa kienyeji katika jamii Karibu pia kwa maoni na mchango wako

from Kijana EG https://ift.tt/2LLRhOs
USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YETU INAYOITWA KILIMO CHA KISASA SASA INAPATIKANA PLAY STORE BUREEE KABISA

No comments:

Post a Comment