WAKULIMA WALA SHAVU NONO KUTOKA KWA JPM - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Friday, July 27, 2018

WAKULIMA WALA SHAVU NONO KUTOKA KWA JPM

Hii ni bada ya kauli ya Raisi JPM, wakulima sasa waruhusiwa na wanaweza kuuza bidhaa zao nje ya mipaka ya Tanzania.
Hivyo wewe kama nimkulima usiache kuchangamkia frusa hii.

Usiache kusubcsribe channel yetu ili kujifunza na kutazama mengi kuhusiana na kilimo na ufugaji


USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA KILIMO BORA IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI BONYEZA LINK HII KUDOWNLOAD ==> https://ift.tt/2tqvrGF

No comments:

Post a Comment