NJIA YA KISAYANSI YA UZALISHAJI WA VYAKULA VYA WANYAMA HYDROPONIKI FORDER SYSTEAM. - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Sunday, October 7, 2018

NJIA YA KISAYANSI YA UZALISHAJI WA VYAKULA VYA WANYAMA HYDROPONIKI FORDER SYSTEAM.

 1.Hydroponics fodder system  ni utarayibu wa kuotesha kwa kutumia maji bila kuhusianisha matumiz ya udongo kabisa,isipokuwa mimea huoteshwa ktk chombo maalumu"tray"ambacho kipo ktk hali ya usafi na kina matundu ya kiasi ili kusaidia maji yasituhame wakati wa kumwagilia. mbegu ambazo znatumika ktk system hii ni mtama,mahindi shayiri na nganu ila nzur zaid na znazopendwa ni mbegu ya shayiri na ngano. But nitaelezea mbegu ya ngano kwa hatua kama sampuli ya mbegu zote ambazo utewaza kutumia kama chakula cha mifugo mfano kuku,ng'ombe,ngurue,sungura nk (a)VIFAA VITAKAVYOHITAJIKA 1.Tray ya plastic au aluminium yenye matundu(umbo la mstatili no bora zaidi) 2.Spray(chupa ya kunyunyizia maji) 3.mbegu kama ngano(chagua mbegu ambazo hazijatobolewa na wadudu) 4.Chombo cha kuloweka mbegu(unaweza ukatumia ndoo yoyote) 5.chujio la plastiki(kama hauna unaweza ukayumia kitamba kisafi). JINSI YA KUANDAA 1.pima uzito wa mbegu zako kisha zisafishe vizur kuondoa takataka zote 2.weka maji kwenye ndo safi na kisha weka mbegu zako ili kuziloweka kwa muda wa Masaa 10. 3.Baada ya masaa kumii kupita to a mbegu zako zako kwenye ndoo na uzichuje maji kwa kutumia chujio au kitambaa kisafi. 4.baada ya kuchuja maji hamishia mbegu zako kwenye tea kisha zisambazwe ili zibanane kupita kiasi unaweza kutumia tray yoyote hata Ungo unafaa kwa kuanza. 5.Baada ya kuweka mbegu zako kwenye tray funika tray zako kwa muda wa masaa 50 tumia mifunko yenye matundu madomadogo na machache ,unaweza pia ukatumia ndoo na mifunko yake wakati mbegu zako zoo ktk hatua hii hakuna Baja ya kumwagilia Mara kwa Mara isipokua mbegu zako ukiziona in kavu utanyunyiza maji kidokidogo mpaka zitakapoonekana zina unyevu wa kutosha kisha endelea kufunika. 6.Baada ya Massa 50 mbegu zako zitakuwa zimechepua kikamilifu utaona mfano wa nyuzi nyuzi nyeupe zinazochomoza so hamishia tray kwenye kechanja au eneo lenye hewavya kutosha lakini zikinge dhidi ya jua Kali,wadudu ,ndege nk kwa kuweka turubai au nairon juu ya kichanja au vifuko vya safleti au kuzunguushia wavu au neti UMWAGILIAJI mwagilia angalau Mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni uvunaji _unaweza kuvuna fodder yako ndani ya siku 7 au 9,ukivuna kati ya Siku hizi kilo 2 za mbegu ya nganu zitazalisha kati ya kilo 14 mpaka 16kg za chakula(fodder) MAHITAJI YA KUKU ,kitaalamu kuku mmoja anakula gram 125 mpaka 150gram za chakula hivyo kilo 1 6 zinatosha kulisha kuku 106 mpaka 120 kuku hapo nimtumia gharama ya .3000 kununua kilo mbili za ngano. NOTE.Fodder ya ngano inapendwa zaidi ya shayiri but shairi inakuwa haraka yaan Mara mbili ya ngano unaweza tumia mbolea za maji aina za busters kwa kupara fodder nying na kilo nyingi zaidi ya hizo.

No comments:

Post a Comment