Ufahamu ugonjwa hatari wa nguruwe (African swine fever) - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Sunday, November 25, 2018

Ufahamu ugonjwa hatari wa nguruwe (African swine fever)

African swine fever umekua ni moja Kati ya magonjwa hatari Sana Tanzania, na sasa wafugaji wengi wa nguruwe wamekua na hofu kutokana na ugonjwa huu hatari.
Tazama na ufahamu mengi ya msingi na usiyo yajua kuhusu ugonjwa huu wa african swine fever.
Pia usisite kuwasiliana nasi kwa mambo mbalimbali na kumbuka ku SUBSCRIBE Channel yetu.


USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA KILIMO BORA IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI BONYEZA LINK HII KUDOWNLOAD ==> https://ift.tt/2tqvrGF

No comments:

Post a Comment