Kanuni (10) Muhimu za kilimo bora cha mpunga - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Friday, January 25, 2019

Kanuni (10) Muhimu za kilimo bora cha mpunga

Kama tunavyo fahamu hakuna mafanikio yoyote bila kua na kanuni, hata kilimo pia kinakanuni zake ambazo ndugu mkulima ukizifuata nilazima utapiga hatua, Kupitia maelezo na video fupi hapo chini utaweza kujifunza kanuni kumi muhimu ili uweze kufanya vizuri katika kilimo cha mpunga.
  • Shamba
  • uchaguzi bora wa mbegu
  • kuotesha mbegu katika kitalu
  • kutengeneza jaruba
  • kahamishia mbegu shambani kwa wakati
  • kuweka kingo katika jaruba
  • Palizi
  • Mbolea
  • kuzuia ndege
  • Uvunaji
Tazama mengi zaidi kuhusiana na kanuni tajwa hapo juu kuelewa zaidi, pia subscribe ili kuendelea kupata mengi zaidi.
 


USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA KILIMO BORA IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI BONYEZA LINK HII KUDOWNLOAD ==> http://bit.ly/2tqvrGF

No comments:

Post a Comment