Tanzania na kilimo ni mtandao ulio jikita katika kutoa elimu kwa wakulima na wafugaji Afrika Mashariki Bure. Mtandao upo kwaajili ya kuziba pengo lililopo baina ya wakulima na wafugaji wadogo wadogo na upatikanaji wa elimu ya kilimo na ufugaji.Mtandao ulianzishwa Rasmi Mwaka 2015 na Hadi Sasa umefanikiwa kuwafikia zaidi ya wasomaji 550,000 kutoka maeneo Mbalimbali.
Kutokana na mahitaji ya wafugaji wengi wa nguruwe mtandao umeamua kuanzisha mafunzo mafupi yatakayo wapa maalifa na ujuzi wa kutosha wafugaji wa nguruwe Africa Mashariki. wataalamu wetu wamejipanga katika kuhakikisha wewe mfugaji wa nguruwe unakua na ujuzi wote katika ufugaji wako.
Mafunzo yatagusia maeneo husika
- Aina ya Nguruwe na uchaguzi wa aina Bora.
- Jinsi ya kuchagua jike na dume Bora
- Jinsi ya kutunza watoto wa nguruwe
- Ujenzi wa Banda Bora.
- Chakula na jinsi ya kuandaa chakula cha nguruwe kwa urahisi
- Magonjwa, dalili, chanjo na tiba.
Hivyo hii ni fursa kwako wewe mfugaji wa nguruwe ya kujifunza Mambo muhimu kuhusu ufugaji Bora.
Usijali kuhusu umbali, mafunzo yote yatafanyika kwa kupitia whatsup.
Jisajili mapema Sasa piga simu au kutuma ujumbe kwa njia ya whatsup +255764148221 au Email
TAREHE: 25/02/2019 - 10/03/2019
MAHALI; ONLINE
ADA: TSH 10,000
TAREHE: 25/02/2019 - 10/03/2019
MAHALI; ONLINE
ADA: TSH 10,000
WAHI NAFASI NI CHACHE
USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA KILIMO BORA IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI BONYEZA LINK HII KUDOWNLOAD ==> http://bit.ly/2tqvrGF
No comments:
Post a Comment