KILIMO BORA CHA CHAI - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Monday, September 18, 2017

KILIMO BORA CHA CHAI



UTANGULIZI

ASILI; Asili ya chai bado haijajulikana hasa ni wap japo kua inaaminika kua china.

KUSAMBAA; Nchi  zinazo zalisha chai kwa wingi kwa sasa ni china, japan, indonesia na kenya ikiwa nchi ya tatu kwa uzalishaji baada ya india na sirilanka.
kenya- milima ya Meru, kericho, endebess, subukiya na makuru
Tanzania- bukoba, iringa, kilimanjaro, mbeya na njombe


• Tanzania ni nchi ya nne kwa uzalishaji wa chai Africa baada ya Kenya, Malawi na Uganda, inazalisha kama tone 32000 kwa mwaka .

AINA•
Kuna aina mbili za chai na wazalishaji wote huzalisha kutikana na haya makundi mawili
China tea(camellia sinensis ) inaulefu wa m6, pia inaklua polepole, fupi na majani ya kijani iliyo koza,
Assam tea inakua katika maeneo ya baridi pia nimikubwa kidigi ukilinganisha na china tea

MAHITAJI YA MAZINGIRA
 •Chai hustawi vizurio katika maeneo yenye mvua kiasi 1500- 2500mm lakini inaweza kukua pia katika maeneo ambapo hakuna mvua  kubwa sana yaani 1200 mm   mfano bukoba

JOTOLIDI • inakua vizuri kwenye maeneo ya joto lidi 18 – 20°C •

.MVUA  • kiasi cha mvua kinacho itajika  1500 – 1750mm ndani ya mwaka • mvua ndefu husabibisha mmomonyoko Higher rainfall causes erosion through soil run off especially on steep slopes.pia hata  1400mm pia inaweza kukua katika mvua chache na mawingu  madogo au umwagiliaji
. .
UDONGO• inakua vizuri kwenye udongo wenye asili ya volcani . • udongo unatakiwa uwe na  urefu kwenda chini(1.8 – 2.0m), unyevu wa kutosha. • uwe na rutuba na pia inafanya  vizuri kwenye udoingo wa acid  (optimum PH – value 4.0 – 6.0)  

UNYTEVU  • 70 – 90%.  Unyevu mwingi ndio unafaa zaidi kwenye maeneo yasio na mvua za kutosha au kwenye ukame. • katika kippindi cha kiangazi  miti ya kivuli nu muhimu kwakua huchangia sana katika kuhifadhi unyevu. 
• pia nimuhimu sana kupanda miti ili kupunguza kasi ya  upotevu wa maji.
Masaa ya kuchomoza kwa jua• Angalau masaa matano (5) kwa siku. 

UPANDAJI
;Chagua kitalu kizuli , eneo la kitalu liwe limewekwa vizuri kwa ajili ya kupunguza kasi ya upepo  pia liwe eneo ambalo jua linafika kwaajili ya kuwezesha mimea inayo kua kupat mwanga wa jua.
Udongo wa kitalu •nimuhimu eneo kua karibu na udongo mzuri, udongo wajuu unatakiwa kua na PH 5.5 na udongo wa chini PH5 pia udongo unatakiwa kua na rutuba ya kutosha.

Unaweza kupanda kwa mbegu au kwa kukata .
Mbegu
Mbegu zinakuzwa kwenye kitalu. Baada ya kupanda mimea huamishiwa shambani pale inapo fikisha miezi 6 hadi 12 .
Kukata
Matawi yaliyo katwa inawekwa katika magunia yenye unyevu  na kutunzwa kivulinu ambapo yanweza kumwagiliziwa kwa uharaka, zingatia kuweka kivulini, pia unatakiwa kukata mashina yebye umri wa miezi 5-7. 
•unatakiwa kukata shina lenye jan 1 lenye ulefu wasc m 3- 4  lenye kikonyo chenye urefu  wa 3-4 cm, pia loweka kwa dakika 30 kabla ya kupanda.
   

 KUANDAA SHAMBA
•Ardhi ambayo haijawai kulimwa ndio inayo faa zaidi eneo ambalo limeshalimwa linatakiwa kusafishwa kwa kuondoa visiki ili kuzuia magonjwa ya mizizi.
• magugu yote yanatakiwa kuondolea  na mashimo ya kupandia hua yanatakiwa kua na upana was m 30 na urefu was m 45.
Nafasi ya kupanda ni 1.5m mmea kwa mmea  na 0.75m kati ya msitari kwa mstari au 1.2m mmea kwa mmea au o.9m mstari kwa mstari  ambayo hukitumia nafasi hiyo utapata  mimea 8000- 9000 /ha

BAADA YA KUPANDA
 • chai mda mwingine hupandwa kwenye kitalu
KUWEKEA NYASI. •kuwekea nyasi husaidia katika kutunza unyevu na kuzuia mmomonyoko na kuzuia magugu kuota kwa kasi. Hakikisha nyasi unazoweka hazigusi mche .unaweza kuweka nyasi kwa kuzungushia mche.
  
MBOLEA
Mbolea ya viwanda ndio inafanya vizuri kwenye zao la chai zaidi ya mbolea za asili, na kiasi cha kuweka mbolea  nikama ifuatavyo.
Nitrogeni • Nitrogen nimbolea ambayo ni muhimu sana kwenye zao la chai. Katika mwaka wa  kwanzana wapili  weka ½  na rudia ¾ ya kiasi kinacho itajika. Na unatakiwa kuweka mbolea yenye nitrogen kuanzia mda wa miezi mitatu. Unaweza kutumia NPK. 
•Mbolea ya kukuzia  usitumie CAN kwa sababu Ca inazuia mmea kuchukua K yaani Potassium.

KUZUIA MAGUGU
Mmea mdogo- katika mimea midogo hua hua viua gugu hutimka zaidi unaweza kutumia viua gugu kama hii uhua magugu mengi ya muda mrefu na aina mazara katika udongo
•viua  gugu hivyo sio kwamba huua magugu kwa asilimia 100 il unaweza kutumia  mfano kupruni  kumbuka kuondoa magugu yote kabla ya kupanda. 
Katika mimea mikubwa • magugu huzuiwa na kuweka kivuli pamoja na kuweka nyasi(mulching) lakini pia viua gugu vinaweza kutumika pia.

UMWAGILIZIAJI
Kumwagiliza wakati wa kiangazi au ukame n I muhimu sana

KULINGANISHA MIMEA NA KUPLUNI
Hii ni muhimu sana kwa sababu inawezesha mmea kua na shape zuli pamoja na urefu unao staili.

WADUDU
Wadudu wanao hathiri sana chai ni kama ifuatavyo
 (i)Helopeltis bugs (Helopeltis schoutedeni)  
 (ii) Black Citrus Aphid (Toxoptera aurantii)
.  Termites
African field cricket
Scales Tea borer
Unaweza kuzuia kibaologia kwa kutumia wadudu wa   African weaver ants  au kwa kutumia mti wa neem  au kwa kutumia viua dudu.

MAGONJWA
(i) Armilaria root Rot (Armillariella mellea) 
 Back Root Rot (Rosellinia arcuata)
Brach and colour Canker, brown and grey blight
grey blight brown blight
Brach and colour Canker
Unaweza kuzuia wadudu kwa kutumia viua dudu.

  


  KUVUNA
Chai huvunwa kwa kukwanyua , kuvunwa hua unavuna skwa enterval ya siku 10  au siku 6 hadi 14 inategemea na hali ya hewa. Mda wa kuvunwa kuanzia mda wa kupanda inategemea na njia ulio tumia kupanda yaani unavuna baada ya miaka 2 kama ulitumia njia ya kukata na miaka 4 kama ulitumia mbegu.
Kwa mwaka unaweza kuvuna 1000 -1300 kg/ha  kwa  chai ambayo  imesindikwa  na mara 5 yake ya majani ya kijani  chini ya usimamizi mzuri, na ukiwa na mtu mwenye uzofu wa kuvuna anaweza kuvuna 30 kg kwa siku. 


USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA KILIMO BORA IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI BONYEZA LINK HII KUDOWNLOAD ==> http://ift.tt/2tqvrGF

No comments:

Post a Comment