Pumba za mahindi 41kg
Dagaa walio sagwa 5kg
Mtama Uliosagwa 25kg
Mashudu ya alizeti 22kg
Chumvi 0.5kg
Damu iliyosagwa 3kg
Unga wa mifupa 2kg
Methionine 0.25kg
Premix 0.5kg
Vitamins 0.5kg
Pumba za mahindi 50kg
Lysine 0.25
Total = 100kg
Damu iliyosagwa 5kg
Grower mash wiki 9-18
Mashudu ya alizeti 22kg
Ngano nzima 5kg
Dagaa walio sagwa 11kg
DCP 1kg
Unga wa mifupa 5kg
Chokaa 2kg
Chumvi 0.5kg
Mahindi parazwa 10kg
Premix 0.5kg
Total = 100kg
Layer Mash. Wiki 19-40
Mashudu ya alizeti 20kg
Pumba za mahindi 35kg
Chokaa 3kg
Mtama 6kg
Dagaa walio sagwa 12kg
Unga wa mifupa 5kg
Damu iliyosagwa 5kg
Utaratibu ni starter kwa weak 8 baadae grower mpaka aanze angalau kuku watatu kudondosha yai ndio chakula kinabadilishwa kwa kuchanganywa grower na layers kwa pamoja kwa mda wa weak 2 baada ya hapo ndio inaendelea layers.
Methionine 2kg
Lysine 0.5kg
Premix 1kg
Chumvi 0.5kg
Total 100kg
Hapo kwenye kubadilisha grower kwenda layers usiwabadilishie tu kwa haraka .ila kwa wiki 2 utawachanganyia grower na layers. Baada ya wiki mbili hizo kuisha ndio utawapa layers tu.
Kwa masomo mengine endelea kutembelea blog hii.
No comments:
Post a Comment