KUANDAA SHAMBA
andaa shamba vizuri kwa kulitifulia vizuri na kulimwagia samadi mapema kabla ya kupanda zao hili. unaweza kulima kwa trekta kama unauwezo na jembe la mkono pia laweza tumika ili kufanya maandalizi mazuri ya shamba
KUANDAA MBEGU
Andaa mbegu mapema kwenye kitalu safi ili kuweza kuhamishia kwenye eneo lako badae unapoanza kupanda. si vizuri kuandaa kitalu mbali na eneo ambalo unategemea kupanda mbegu zako. mbegu iachwe ikue vizuri ndipo ihamishwe shambani kwa ajili ya uzalishaji.
a
AINA ZA MBEGU
Zipo aina nyingi za mbegu ya pilipili hoho ambazo hulimwa na hupendwa sana na watu wengi. kwa mfano kuna( psserela) na (illanga) ambazo zinakua na rangi tofauti
MBOLEA
Tumia dap kwa kupandia na baada ya hapoo utaeka CAN au UREA kwa kuzia na wakati wa kuanza kutoa maua tumia MOP kwa kuimarisha maua yasidondoke ovyoo. tupia dawa za madudu unapoona wadudu anashambulia mmea wakoo na dawa za ukungu kipindi mimea inapoanza kuathirikaa
kKUVUNNA
pilipili hoho huchukua miezi mitatu hadi kuanza kuvuna na kumaliza kuvuna pia hivyo ni zao la muda mfupi na linafaida kubwaa
hakikisha unaandaa sehem ya kuweka kumbukumbu za mapato na matumizi kujua kua kilimo kina faida kwako au hasara.
No comments:
Post a Comment