– Kuku wadogo huathirika zaidi kwa ukosefu wa vitamini ‘A’.
Dalili za ukosefu wa vitamini ‘A’
•Macho huvimba na kutoa uchafu mzito kama sabuni ya mche iliyolowana maji.
• Hudhoofika na hatimaye hufa.
Tiba na Kinga.
• Kinga ugonjwa huu kwa kuwapa majani mabichi au mchicha wakati wa kiangazi.
• Wape kuku vitamini za kuku za dukani wakati majani hayapatikani.
•Kwa kuku alie athirika na ugonjwa huu; msafishe na maji ya vuguvugu yenye chumvi kiasi, hakikisha uchafu wote unatoka kisha mpe vitamn ya dukani unaweza tumia amin total au vitamn yeyote ile.
Fanya zoezi hilo kwa siku 5
Kama una swali comment hapa chini,,,,,
ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII KILA SIKU
from FUGA KIBIASHARA http://ift.tt/2AhBHYl
No comments:
Post a Comment