MTAJI WA AWALI : UFUGAJI SUNGURA - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Tuesday, January 9, 2018

MTAJI WA AWALI : UFUGAJI SUNGURA


Ndugu Mfugaji tazama video hiyo apo juu ili kujua zaida Ufugaji Sungura, masomo na Mtaji wa awali.

Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba
umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama
waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au
mbwa, sungura wanahitaji uangalizi na hassa kwenye
usafi kwa sababu ni rahisi kwao kupata maradhi
yatokanayo na mazingira mabaya na machafu.


UFUGAJIYAKINIFU APP BOFYA HAPA KU DOWNLOAD

from FUGA KIBIASHARA http://ift.tt/2CJZq1C

No comments:

Post a Comment