UGONJWA WA KUOZA KITAKO.(ENDLOOT) - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Sunday, May 28, 2017

UGONJWA WA KUOZA KITAKO.(ENDLOOT)

                       

UGONJWA WA KUOZA KITAKO.(ENDLOOT)
Hiyo ni Endloot(kuoza kitako),Inasababiswa na mmea kukosa maji ya kutosha/kutofata ratiba ya umwagiliaji wa shamba lako..Unakuta siku nyingine unamwagilia asubuhi siku nyingine mchana au unamwagilia jumamosi alafu unarudia tena kumwagilia jumanne huko ndiko kutozingatia ratiba ya umwagiliaji wa shamba lako na ndiyo chanzo kikubwa cha ugonjwa huo Endloot(Kuoza kitako).
TIBA
Kata matunda yote yaliyo athirika alafu anza kufata na kuzingatia ratiba ya umwagiliaji wa shamba lako.

No comments:

Post a Comment