Aina Bora za Mbegu za Mihogo - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Tuesday, February 26, 2019

Aina Bora za Mbegu za Mihogo

Zaidi ya aina 45 za mbegu za mihogo zinajulikana hapa nchini. Zaidi ya 80% ya mihogo ni ya asili. Hivyo wakulima wengi hawatumii mbegu bora za mihogo.

Source



from Mogriculture Tz https://ift.tt/2U8SljQ
USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YETU YA KILIMO CHA KISASA IPO PLAY STORE SASA

No comments:

Post a Comment