Siri (6) kumfanya nguruwe wako awe na afya bora - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Tuesday, February 26, 2019

Siri (6) kumfanya nguruwe wako awe na afya bora


Karibu Tena mpenzi msomaji wa Tanzania na Kilimo, Leo napenda kukuonyesha ili uzitambue Siri 6 zitakazo msaidia nguruwe wako kua na afya Bora wakati wote.

  • Kwanza nilazima uwe na Banda Bora ili kupata Nguruwe bora, kwa hiyo hi kitu Cha kwanza kabisa kitakacho kusaidia wewe mfugaji kupata Nguruwe bora

  • Kitu Cha pili ni kutumia dume mwenye afya Bora wakati wa kupandisha, ukiitaji kitu Bora nilazima malighafi zitakazo tumika ziwe Bora pia, leave hyo hata kupata watoto wenye afya Bora zingatia kua na dume bora
  • Muhimu kua na chanzo chaaji Safi bandani yanayo patikana muda wote 

  • Chakula Bora ni muhimu Sana, hivyo zingatia chakula Bora na kinacho tosha, ili kuwapa nguruwe nguvu na Afya.
Kufahamu mengi zaidi kuhusiana na Siri 6 zitakazo saidia nguruwe wako kua na afya Bora. 
Tazama video na subscribe  kuendelea kupata elimu Bora kiganjani kwako




USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA KILIMO BORA IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI BONYEZA LINK HII KUDOWNLOAD ==> https://ift.tt/2tqvrGF

No comments:

Post a Comment