PART 1: Tengeneza chakula Cha nguruwe Cha asili chenye virutubisho vyote na nafuu. - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Tuesday, March 5, 2019

PART 1: Tengeneza chakula Cha nguruwe Cha asili chenye virutubisho vyote na nafuu.

Wafugaji wengi wa nguruwe wamekua wakiwalisha nguruwe mabaki ya chakula mbalimbali kutoka majumba, harusini na hata mahotelini.
Lakini kitaalamu mabaki ya chakula, hua hayana virutubisho vyote muhimu kwaajiri ya kumfanya nguruwe wako awe na afya Bora. Hivyo were Kama mfugaji lishe Bora ni lazima izingatiwe ili kupata Nguruwe went afya Bora kabisa.
Kwa kutambua hili, tunakuletea somo ambalo litakufundisha wewe mfugaji uweze kufahamu jinsi ya kutengeneza chakula Bora kwa gharama nafuu na kwakutumia malighafi zinazopatikana kirahisis.
Bofya video chini Tazama na Kisha subscribe kisha bofya alama ya kengele Ili uweze kua wakwanza kupata elimu hii muhimu.




USISAHAU KUPAKUA / KUDOWNLOAD APPLICATION YA KILIMO BORA IPO PLAY STORE ILI UPATE HABARI KWA URAHISI BONYEZA LINK HII KUDOWNLOAD ==> https://ift.tt/2tqvrGF

No comments:

Post a Comment