UFUGAJI WA KUKU: ZIJUE SABABU ZINAZOSABABISHA KUKU KULA MAYAI YAKE - KILIMO NA UFUGAJI

Latest

Karibu uweze kujifunza na kujipatia elimu kuhusiana na kilimo na ufugaji ambapo utajifunza mbinu bora za kilimo na ufugaji pia utajifunza dondoo mbalimbali na mbinu bora na za kisasa za ufugaji

Monday, April 10, 2017

UFUGAJI WA KUKU: ZIJUE SABABU ZINAZOSABABISHA KUKU KULA MAYAI YAKE



Kuku Kula Mayai Husababishwa Na Sababu Kuu Nne(4):-
1.Upungufu Wa Madini Ya Kalishiamu (Ca).
2.Upungufu Wa Madini Ya Potashiamu (Ka).
3.Kulisha Chakula Kichache (Underfeeding).
4.Tabia Mbaya (Vices) Tiba:-
1.Kalishiamu.Tumia Chumvi, Dcp,chokaa Au Mifupa Kama Wanakula Mayai Na Kudonoana Manyoya.
2.Potashiamu.Wapatie Majani Yakutosha Pamoja Na Mifupa Kama Wakula Mayai Na Manyoya Yao Kuwa Rafu.
4.Tabia Mbaya.Wakate Midomo Na Kuwapunguza Kwenye Banda Kama Wamebanana Na Wanakula Mayai.
3.Kulisha Chakula Kichache.Ongeza Kipimo Cha Chakula Kama Wanakula Mayai Na Wamepungua Uzito.
KUMBUKA:Epuka Kufanya Lolote Kati Ya Hayo Yote Yaliyotolewa Bila Kupata Uhakika Kutoka Kwa Mtaalam Wa Mifugo Anaetambulika Kisheria.

No comments:

Post a Comment